Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Mimi sio...
25,953 görüntüleme • 1 yıl önce •via X (Twitter)
8 Yorum

Latto 𝕏1 yıl önce
Mitandao haisahau.. Haya Wema Sepetu alishawahi kusema kuwa havagi nguo za kuonyesha maumbile yake ya ndani Leo imekuwaje? Video kwa Comments 👇

Latto 𝕏1 yıl önce
Unataka simu kali? Jiunge na Channel ya OBINIGWE, then chagua uipendayo. Kisha wacherk Dm Wahi sasa kabla stock haijapungua Bonyeza. Kujiunga

Latto 𝕏1 yıl önce
Nguo alizovaa jana

Solar Heavy1 yıl önce
- Know Me

Muuza Vitu😎(Vitu Ni Vingi)1 yıl önce
Ngumu sana kushindana na utandawazi 😂

Germany.tz1 yıl önce
Tatizo ni gg 😂 ukiwa na rafiki mchawi ipo siku na wewe utakua mchawi 😁

Kazi Portal1 yıl önce
Washakuwa wabibi.. sasa huo uchi uko wapi hapo.?

~BINGWA⚡1 yıl önce
Sasa ukishakuwa kundi moja na Gigy unategemea nini?

