正在加载视频...

视频加载失败

Miziki ya Miziki #CombinationImerudi

51,629 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)

10 条评论

Dullah_theKing🎧 的头像
Dullah_theKing🎧1 年前

Tuliimiss hii Sound pamoja na uwepo wa "Man Maji" Balaa

ozanee 的头像
ozanee1 年前

Tangu cinderella hadi sasa we ni mwamba🤣

Latto 𝕏 的头像
Latto 𝕏1 年前

Niko nasikiliza hapa kwa Earpods!! Kuna kinanda nakisikia hapa kwenye sikio langu la Kushoto... Yoo!! This Sound 🙌

Raphael Mheta 的头像
Raphael Mheta1 年前

Man maji

Mara finest 的头像
Mara finest1 年前

Nyie mamiziki tu linapokuja jambo la kujenga ustawi wa jamii kama uchaguzi nyie ni mastarehe tu dah!! My people's country mmekuaje kwan ni dhambi kutoa Maoni

I'M LIVING BLESSED 的头像
I'M LIVING BLESSED1 年前

Welcome back

John Kimea 的头像
John Kimea1 年前

🔥🔥🔥

YULE BOY😉 的头像
YULE BOY😉1 年前

Humu koffie au fally wangetisha sana

Sinza hood 的头像
Sinza hood1 年前

🔥🔥

Mrtrouble😵‍💫 的头像
Mrtrouble😵‍💫1 年前

Hii combo Kali sana Ali🔥

相关视频

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma (Mwana FA) muziki wa singeli unashika na unakubalika maeneo mengi hadi nje ya nchi lakini pia ni muziki ambao asili yake ni Tanzania hivyo ametaka Watanzania kuwaunga mkono Wasanii wa singeli, kuusafisha muziki huo, kuwaelekeza bila ukali Wasanii wanapokosea ili kuufanya muziki huo uwe bora zaidi na utambulisho wa Taifa. Akiongea wakati wa mjadala wa makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa mwaka wa fedha 2025/2026, Mwinjuma amesema “Wabunge kadhaa hapa wameongea toka asubuhi kwa hisia nyingi kuelezea jinsi ambavyo kuna sintofahamu juu ya kwanza singeli kuwa muziki wa Taifa lakini halikadhalika maudhui yanayobebwa kwenye aina hii ya muziki, hakuna Mtu yoyote aliyesema mahali popote kwamba tunataka kuifanya singeli kuwa muziki wa Taifa” “Tuliona muziki huu umeshika na unakubalika maeneo mengi ikiweno nje ya nchi, Mimi binafsi nimewahi kwenye maonesho ya singeli nje ya nchi na muziki huu unafanya vizuri sana, ukweli ni kwamba hakuna Mtu yoyote kutoka sehemu nyingine yoyote Duniani anayeweza kuja kudai kwamba singeli ina asili ya nchini kwao, kimsingi singeli ina asili ya kutoka Tanzania” “Tulikuwa tunawasaidia Vijana hawa kuubrand muziki wa singeli na kuusafisha, uhuni unaosemwa upo kwenye singeli Mimi kama Mwanamuziki najua uhuni upo kwenye miziki yote na Vijana hawa wanahitaji maelekezo na sio kususwa kama ambavyo tunasema kwa ukali” #MillardAyoUPDATES

millardayo

31,382 次观看 • 1 年前