正在加载视频...
视频加载失败
Mmeona drunken master wa huku kenya 😂😂
155,798 次观看 • 2 年前 •via X (Twitter)
35 条评论

Bangi sio mutura😂😂😂

Bado si wote tunakula chafua

Huyu ni waya 😂😂

Alikuwa wapi wakati wa maandamano?? Shenzi🏌️😂

Wueh makoshaa bbrrr

Hii ni maajabu

Mbona hakuja maandamano atupigie wale mapolisi walishinda wakitupiga na marisasi?! Alikua wapi?

That's a good one

Naishaa😂

Nani huyu

Si aende afight corruption 😂

Akuje cbd adeal na zile mikora

Alikua wapi last week.

😂😂

Jokes aside! All those moves ain't easy! Kudos to him

huyu ni ng'ang'a dumaa😂😂🔥

Pretty cool tho 😂👏

Huyu ni nani

Utu nampiga mawe

Huyu msee ndio anafaa aingie demos na hii costume😂

Ayaya noma sana

Alikua wapi siku ya maandamano 😂😂😂

Huyu anaweza kuchukua chukua vibaya sana

He's good though.

✊

😂😂😂😂😂😂

Noma sana

Hii n noma

For a red belt that's good

Weuhh mko na jokes

Noma 😂 waah

Hii soundtrack bana.....imenirudisha back

Huyu sasa atokee kesho buana😂 Ruto must go..

Upuzi alikua wapi time tulimhitaji

🤣🤣😅
