Loading video...
Video Failed to Load
Mnao taka kwenda USA 🇺🇸 🔥🔥🔥🏃
11 Comments

Tunapenda kufunika matatizo yetu kwa kufananisha na matatizo ya abroad bado tuna safari ndefu sana huwezi furahia mtoto wako kulawitiwa kisa wa jirani nae amelawitiwa✍️

Many homeless America ni Drug consumers na hawapendi kufanya kazi wengi ni wazawa

Nakubaliana na wewe kabisa, niliwaza kufanya kama hili pia ili watu nyumbani wajue. Nilikuwa Los Angeles mwezi wa pili, nilishamgaa mnoo, maana homeless ni WENGI kupata maelezo, na inaonekana ni maisha ya KAWAIDA sana

💪 Merica, we're taking it back. 💯 You like Trump, you know it, time to show it. ✅ T's for Trump here:

Bado ni pazuri kuliko posta

😂😂

Sawa naomba pia unionyeshe bongo usionyeswa kwa television..pia harafu tumime uzani mzee

I have never dreamt of going to abroad to find good life , I believe that if God blesses me wherever I can have access to good life even in my home country.

Kama hiyo ndio Marekani ya watu masikini basi kuna unafuu mkubwa huko

Acha mihamko eleza sababu nini hutokea adi watu wanakuwa hivyo

Kwan kila atakae enda SA atashukia apo ndo maana kuna New York los angel California Hollywood na mazingira ayafanani ata kidogo
