Loading video...
Video Failed to Load
Mnatupea stress😂😂
34,382 views • 2 years ago •via X (Twitter)
31 Comments

Ngoja Nimalizane Na Huu Mchongo Takucheki Mamiloo!!

halafu huyu unakuta ni mke wa mtu. Dear feature Wife utakapokua umeamua kuolewa na mimi naomba uitulize tafadhali. nisije kudaiwa damu ya mtu mimi 😡

Basi tuwe tunawapatia zetu

Tatizo mkipigiwa simu njaa zinaanza hapo hapo,misiba,mara umeme umeisha kwahiyo kupanga ni kuchagua

Nimecheka sana me natabia ya kutoa namba yangu kwa demu akinitafuta tuu kimemlamba

Tulia kama nyoka, UKIHITAJIKA UTAITWA 😂😂😂

Ukishachukua namba ya demu kumbuka kuna kutoa hela maisha yenyewe yakwap ya nini kujiongezea magharama

Haka Katoto Kanaonekana Katamuu

@mangalaphg @2c8832aa1720451 hawaelew mpk ukijpata ndio unatutumka🤣🤣🤣🤣🤣

Huyu kanikumbusha Kuna namba nimepewa last week sijamchek bado 😄😄

Kama ana mtoto mdogo akikua atakuta ujinga wa mama huu mtandaoni time will tell

Hiyo ni miongoni mwa mbinu za kivita wachache sana wataelewa😅

Hiyo mbinu alitufundisha Dokita Lavu @max_zitatu

Tatizo tukiwatafuta na Nini mnashida nyingi

Usijali dada wanaume ni wengi utapata mwingn

Kumbe ndo ivo ngoja tutembee na code hii sasa hahahah

😂

Pole sana ! Kuwa na subira

Kama hujatafutwa ujuie hizo ni zarau hajakuelewa.

Apo Kwanza nichek 🤣🤣🤣🤣

Mzee hivo hujaolewa tu mnatumika vibaya kusambaza maradhi

Mm huko fb nina number za wadada kama 100 hata mmoja sjamtafuta😂, hio time sina wallah

Tunaogopa yale maneno yenu ya wazamini😂😂😂

Karipoti polisi amepotea

Duh

😀😀arudi walipokutana

Hajui io ni psychologicaly tricky kumtengenezea excitement 😁

Wenye mafuta wanakuwaje tena?.. 🤣🥱

Na hicho kipini nani akutafute

🤣

Hivi wanawake wanatakaga nini kutoka kwa wanaume?
