正在加载视频...

视频加载失败

19,957 次观看 • 3 年前 •via X (Twitter)

19 条评论

Jacob Mic 的头像
Jacob Mic3 年前

Acts 11:26 [26] and when he had found him, he brought him to Antioch. For a whole year they met with the church and taught a great many people. And in Antioch the disciples were first called Christians.✝️

The Info 的头像
The Info3 年前

Now umejionyesha kwa rangi yako halisi,upo upande upi na dini ipi unaipenda na ipi unaichukia

khk 的头像
khk3 年前

Sio macho yao ambayo hayaoni bali ni mioyo yao

RASHIDI ADINANI 的头像
RASHIDI ADINANI3 年前

Amesema mtume muhammad swala na salamu ziwe juu yake kwamba: “$isi manabii ni ndugu wa baba mmoja mama mbali mbali Dini yetu ni moja¹” Bukhari 3443 ، Muslim 2365. (1).Dini ya mitume ni Uislamu nao ni kujisalimisha kwa Allāh kwa kumuabudu yeye #pekee pasi na kumshirikisha na

Golden omy Mjema 的头像
Golden omy Mjema3 年前

But no man willing to except it

GPM 的头像
GPM3 年前

Ile sio vita ya kidini, ni palestina na Israel tusichanganye mambo ambayo tukamsokea Mungu.

Kvara 的头像
Kvara3 年前

Ukwel ni kile unacho amini mwenyew sio kuckiliza hao walikuja... vip kam miungu yetu ndo ya kwel

Samson Java 的头像
Samson Java3 年前

jamaa kawachana live bila chenga, hawa watu wa dini nami niwaulizeni nani aliwambia kuna jehenamu?. yaani Mungu awachome moto watu wake ambao anajitanabaisha anawapenda

Golden omy Mjema 的头像
Golden omy Mjema3 年前

Tule agano la kale

James Bundala 的头像
James Bundala3 年前

Hali imekuwa mbaya sio mkuu? Umehamia huku? 😀 Unajua ni kwa nini Waarabu ndugu zako hawajitolei kuchukua wakimbizi wa Palestine? Ni wavurugaji- wiki mbili hazijapita wameshaleta vurugu na mauaji kule Lebanon. Misri ni jirani yao pale ila hataki hata mkazi mmoja

faraji faraj 的头像
faraji faraj3 年前

Big up mzee

elvisnyagawa 的头像
elvisnyagawa3 年前

Bado hamjasema pigeni hao palestina mpaka waseme

Said Mmbaga 的头像
Said Mmbaga3 年前

@DowloaderBot

Putin's Son 的头像
Putin's Son3 年前

Anaitwa David Wood Mfuatilieni YouTube Anatema Nondo Sana Kashawatwanga Kwa Hoja Waislam Kibao Uzuri Anajua Quran na Bible

Pr. Viny 的头像
Pr. Viny3 年前

Yes, they Christians because they follow Christ, It's Christianity because it is the teachings and faith of those who follow Christ, and He is the CHRIST. So Christ is the centre of everything about CHRISTIANITY and CHRISTIANS

Èmmanuel 的头像
Èmmanuel3 年前

Maybe 🤔

chakubanga 的头像
chakubanga3 年前

Huyu akifika mbinguni lazima apewe bikra 30

TchabiG600 的头像
TchabiG6003 年前

Dini zinawachanganya sana ni swala la muda tu mnatingia kwenye mfumo wa luci

It's Sope 的头像
It's Sope3 年前

But he brought the so called (.......)