Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

20,600 Aufrufe โ€ข vor 1 Jahr โ€ขvia X (Twitter)

12 Kommentare

Profilbild von Latto ๐•
Latto ๐•vor 1 Jahr

Sikiliza hizi Voice notes za mazungumzo ya simu kati ya Martha na Joan.. Then uniambie nani Kazirecord ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… Video kwa Comments ๐Ÿ‘‡

Profilbild von tegemea chris
tegemea chris vor 1 Jahr

Aliyerekod kajipanga ndo maana anaongea Kwa utuliv mtegooo

Profilbild von minea_official
minea_officialvor 1 Jahr

Elite dropshippers use Minea to predictably launch winning stores. For a limited time, you can now try Minea for free ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

Profilbild von Kithure Kindiki wa bongo ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
Kithure Kindiki wa bongo ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟvor 1 Jahr

Aaliyerokodi ni martha lakin uyo Beatrice ana matatizo

Profilbild von joelโ˜… โ™
joelโ˜… โ™vor 1 Jahr

Beatrice , mbona Kama ni Malaya sana .. matha yeye amepoa Ila ka bite kanabwambwaruka kisenge , utadhani kanaongea na ex wake ๐Ÿ˜…

Profilbild von LV๐ŸŒ
LV๐ŸŒvor 1 Jahr

Huyo Demu anapayuka na hana Utulivu,Bado hana Hoja za Msingi za kumlaumu Martha ๐Ÿšฎ

Profilbild von King Wagon ๐Ÿ‘‘
King Wagon ๐Ÿ‘‘vor 1 Jahr

Kwa hayo mazungumzo mafupi huyo Beatrice anaonekana ni tatizo. Hata kuishi na mwanaume huyo hataweza. Martha ana hekima sana,๐Ÿ‘๐Ÿฝ๐Ÿ‘๐Ÿฝ๐Ÿ‘๐Ÿฝ

Profilbild von kwame Nkrumah
kwame Nkrumahvor 1 Jahr

Hii kurekod matha ndio maana amejifanya anahekima

Profilbild von Mr. Unoka1975๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฌ.
Mr. Unoka1975๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฌ.vor 1 Jahr

Bite anamsungo wa Mawazo hana utulivu

Profilbild von Tee wa Star
Tee wa Starvor 1 Jahr

Wabongo mna mambo ya hovyo yn kwasababu mtu amepanick mwngne amerelax bac aliepanick ana matatizo?hehehehe msijifanye hamjawah kujikuta katika situation km hzo

Profilbild von SKETCHโš ๏ธ
SKETCHโš ๏ธvor 1 Jahr

Martha

Profilbild von mtanganyika
mtanganyikavor 1 Jahr

Alierekodi ni nan ? Km ni martha bas kapay victim ila kwa macho tuu kale kajoan ni kamalaya af kajanja janja

ร„hnliche Videos