Loading video...
Video Failed to Load
Mtajenga Kweli? 🤔🤔🤔
80,922 views • 1 year ago •via X (Twitter)
11 Comments

Godson Salema1 year ago
.ukijitia viuno tunavila na hatutoi sumniii..Kwa utamuu ganii?! ..sintaupata hata Kwa sabunii

公式:ちぃたん☆九州1 year ago
Would you like to join Chiitan in the Avengers?

mtafutaji1 year ago
yesu mwenyewe alisema anaenda mbinguni kutuandalia makao asa ukijenga unakua unaingiria kazi za watu😅😂😂

Gift Macha1 year ago
Kwanza Duniani tunapiga, kwanini nijenge njiani 😃

Muuh_Outfits🛍️1 year ago
Free delivery 🚚

JIMMY🇹🇿1 year ago
Tukishawqjengea wazazi inatosha tukifeli tutaishi nao hapo tulikowajengea😂

Mallya Almar1 year ago
Shusha Bei Ya Saruji Na Nondo.

John Swai1 year ago
Boss wako tu kakimbia kodi sisi nani tusijenge

tibu021 year ago
Waliojenga watakufa na ss tuta kufa Aya tupe number🚖

Muuh_Outfits🛍️1 year ago
Karibu dada angu kipenzi @AdellaTillya

Godfrey Kombe 4441 year ago
Tutajenga tunatumia code ya simba na ss saivi
