Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
Mtoto wa Kikwete😂😂😂😂
26,795 просмотров • 2 лет назад •via X (Twitter)
Комментарии: 11

Latto 𝕏2 лет назад
Mzungu kutoka Chuga huyu anakiongea kiswahili cha Ndani ndani kabisa 😂😂😂 Anasema hajasomea kiswahili.. Video Kwa Comments👇🏾

CHILLEH MR SHITCOIN2 лет назад
Eti Haki ya Mungu 😅😅

Kiddy Enock2 лет назад
Msenge anajua hadi walah hamna mzungu hapo avue kinyago huyu mhuni wa Nanjilinji huko

Kayage_Veca🇹🇿2 лет назад
Huku chuga wapo kibao ukienda kilombero sokoni unakuta wanaomba kupunguziwa bei ya vitungu 😅🤣

Teen452 лет назад
Yani mpaka ile kusema haaaah…na anajua mpaka kuapa

Mkaanani172 лет назад
New version ya bongo zozo🤣🤣🤣

Almighty Alpha✪🐺2 лет назад
Huyu ni doto magari amevaa kinyago cha mzungu😂😂😂😂

Almighty Alpha✪🐺2 лет назад
Haki ya Mungu wallah😂😂😂😂

Fempe2 лет назад
Credit Yangu mkuu ????

Nyore 01 🇹🇿🇨🇦2 лет назад
Oyaah😂 njoo Dsm mzee pale MSP, utajuta kwann ulienda St kayumba😂

Mike Goodboe2 лет назад
Jamaaa Hadi kabana pua...
Похожие видео
1:31
Sensitive content
Wa li deug la?😂😂😂😂😂
Fªt¡mª💕
26,581 просмотров • 1 год назад
