Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
MUAMSHENI ALIKOMWE USINGIZINI KAMDOMO 😁🐸🐸😁🐸😁🐸😁🐸😁🐸
44,417 görüntüleme • 1 yıl önce •via X (Twitter)
11 Yorum

Msema kweli1 yıl önce
Acha kutuletea wasemaji wajinga kuwahi kutokea,yaan mambo ya mipira anafikia kuapa kwa mwenyez Mungu kweli?anajuwa maana yakiapo cha Mwenyezimungu ?Sijui kalipataje nafasi yanga,ujingaujinga umekajaa,ukisema ukweli utasikia wajinga wenzake wamebana pua eti tunamuonea wivu,jinga

Solar Heavy1 yıl önce
- All I Knew

Nahil Velji1 yıl önce
Huyu jamaa hajasoma.. talks nonsense kila mara.

Ford1 yıl önce
😄😄😄😄😄

Hans Chopoti1 yıl önce
Kwahiyo ameshasema huyo shabiki mmoja?

Hussein Mohamed1 yıl önce
Haya Sasa uyo MVP katupeleka fainali huyo chama Anasugua Benchi UTOPOLONI .

Ubaya Ubwela1 yıl önce
Mungu yupi alimuapia

@Basengo Bako1 yıl önce
Hahaaa mv penati

Smasha1 yıl önce
Anapenda Viapo huyu

𝘽 𝘼 𝘽 𝘼 𝙒 𝘼 𝙍 𝘿 𝘼 ®🇰🇪🇹🇿💔1 yıl önce
Walisajili Chama kwa Mihemko hawakujua kocha atamkubali au laaah kimewalamba

Mayenga Nzobe1 yıl önce
Huyu akili ndogo kichwa kikubwa
