正在加载视频...

视频加载失败

Muelezee mwanamke kwa neno moja tu 😁

34,184 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)

9 条评论

Msemakweli 的头像
Msemakweli1 年前

Hata alipomwambia anarudia mara 5 alidanganya, alirudia mara 4 Tu.

Private candidate. 的头像
Private candidate.1 年前

Baba aliwah kuniambia kwenye zile Amri kumi ongeza hii "usimwamini Mwanamke".

Uncle P 的头像
Uncle P1 年前

Nina hakika mwanamke alikuwa mjumbe kwenye kikao kilichofanyika Mwanzo 1:26. Mwanamke hata akipewa kiberiti achome dunia anachoma haijaalishi na yeye yumo.

Tondoro 的头像
Tondoro1 年前

#NoReformsNoElection🇹🇿✌️ #NoReformsNoElection🇹🇿 ✌️ #NoReformsNoElection🇹🇿 ✌️ #NoReformsNoElection🇹🇿✌️ #NoReformsNoElection🇹🇿 ✌️ #NoReformsNoElection🇹🇿 ✌️ #NoReformsNoElection🇹🇿 ✌️ #NoReformsNoElection🇹🇿 ✌️ #NoReformsNoElection🇹🇿 ✌️ #NoReformsNoElection🇹🇿 ✌️

identical Twins❤️ 的头像
identical Twins❤️1 年前

Linavyotoa macho Sasa ashindwi kukunyonya damu huyu...macho yanawaka kama chemli

Deusdebit Kowa 的头像
Deusdebit Kowa1 年前

Nyerere alimaliza kuhusu wanasiasa wa aina hii. Jambo zuri ni kwamba Watanzania wengi wameshafanya maamuzi,ni suala la muda tu.

Isara Mo 的头像
Isara Mo1 年前

Kutokuwa na msimamo kwenye mambo ya siasa ni kiashiria cha kutokuwa na msimamo katika mambo ya MAHUSIANO ....(yeyote)

Painter25 的头像
Painter251 年前

Mamaeee somo la hawa viumbe huwezi fuzu hata usome karne na karne

Msemakweli 的头像
Msemakweli1 年前

Nampenda huyu mwandishi wa habari. Ni kama alikuwa na hisia kwamba anadanganywa. Sasa wananchi mtaamua kama mnataka kumchagua mbunge muongo au la.

相关视频

Neno mmoja ndugu Muwekezaji🤟🏾😁
0:58

Sensitive content

Neno mmoja ndugu Muwekezaji🤟🏾😁

ODDSKILLER

28,546 次观看 • 1 年前