正在加载视频...

视频加载失败

63,995 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)

10 条评论

Daktari Wa Manesi 💉💊 的头像
Daktari Wa Manesi 💉💊1 年前

First born mungu akufanyie wepesi

Mmassy Jr (II) 的头像
Mmassy Jr (II)1 年前

Mwal. Christopher Mwakasege ana full series ya somo la Mzaliwa wa kwanza. Nilijufunza series hii miaka ya 2008

Aneth 的头像
Aneth1 年前

Amesema kweli. But amesahau kitu kimoja. Kama mzazi mzaliwa wako wa kwanza ni wa kiume. Basi mtoe / mtengee Bwana. Mwambie huyo ni wa kwako. Na muelekeze mtoto nyumban kwako ni kwa baba yajo ambaye ni Mungu. Akijibidiisha katika kutunza nyumba ya Baba yake. Hawez kuwa failure.

Denice Tumaini 的头像
Denice Tumaini1 年前

Nipo hapa kusema hii ni Uongo na tusijichimbie hapo tukaishi hapo. Uzaliwa wa kwanza ni majukumu, yabebe, period!

Kangala William 的头像
Kangala William1 年前

Nafikir hii ni nadharia tu, zipo familia first born wamefanikiwa wanaofuata hawajafanikiwa and vice versa is true. Na tukizungumza Kikristo; Yesu alishamaliza kaz ya ukombozi msalabani, hakuna ukomboz mtu ataufanya kwa ajili ya mtu mwingine.

Mendoza 的头像
Mendoza1 年前

excuses km excuse zingine! Matajiri wa dunia asilimia 80 ni generation ya kwanza from poor families ! Mfano baadhi ni Oprah Winfrey, Howard Shultz, Ralph Lauren, Larry Elison, Kenneth Langone, David Murdock, Alan Gerry, John Paul DeJoria, Harald Hamm

John kalage 🇹🇿 的头像
John kalage 🇹🇿1 年前

Mungu atusaidie kwakweli.

Neema 的头像
Neema1 年前

Hapana kwakweli hii mindset tuikatae na ni uongo ! Yes anakuwa na majukumu makubwa ila ni yeye mwenyewe kuamua kuyafanya au lah. You can’t always baby people. Pia wapo first borns waliofanikiwa sana coz parents wali invest kwao in terms of education, mali etc

L1128 的头像
L11281 年前

Baba yangu ni mtoto wa 7 kwao ila ni kama wa kwanz tu maan yeye ndo kidgo kafanikiwa alooh majukumu aliyonayooo😂😂😂🙌 ndo maan anaongeaga peke yake yule mzee…! Alinambia omba mungu kwenye familia mfanikiwe wote sio utoke peke yako n mbaya sanaa😭

Elias Msuya 的头像
Elias Msuya1 年前

Not necessarily working like that

相关视频