Video yükleniyor...

Video Yüklenemedi

Ana Sayfaya Dön

Mussa kapata mama mkwe kibokoo👌🏽🤣🤣🤣

42,281 görüntüleme • 2 yıl önce •via X (Twitter)

10 Yorum

Daktari Wa Manesi 💉💊 profil fotoğrafı
Daktari Wa Manesi 💉💊2 yıl önce

Ndoa Hakuna hapa

CHILLEH MR SHITCOIN profil fotoğrafı
CHILLEH MR SHITCOIN2 yıl önce

Ndoa Nyingi wa Mama wanazivuruga Kuanzia Hapaa 1.Hatujamchoka 2.Hatujashindwa kumlea 3.Binto Yetu Hana kovu 4.Hajawahi lala Njaa 😂😂 Wanawake Kamwe Usikubali kushikiwa Akili Kwenye Ndoa Yako Jishikie Akili Yako Wewe Mwenyewe🏃🏃

Ibrahim Sabuni profil fotoğrafı
Ibrahim Sabuni2 yıl önce

Talaka ingetoka hapo hapo. Wakapelekeshe mabwege wengine. Kwanza ni siku ya harusi sio kichenipati. Pumbafuu

Peter Madukwa profil fotoğrafı
Peter Madukwa2 yıl önce

.....ni wazi kuwa wazazi hawajaridhia mtoto wao kuolewa na kubadilishwa dini. Mtoto hakuwasikiliza wazazi wake, kuna uwezekano maisha yao ya ndoa kuwa MAGUMU.

Shecky profil fotoğrafı
Shecky2 yıl önce

Hiyo ndoa sijui? Labda mwanamke alieolewa awe anajielewa ila kama hajielewi na backup yenyewe ndo huyo mama

Ibrahim Sabuni profil fotoğrafı
Ibrahim Sabuni2 yıl önce

Ivi kwanza Mussa hakumuona huyu mama mkwe akaanza nae?

ASSEY. profil fotoğrafı
ASSEY.2 yıl önce

Hilo ni ONYO LA KWANZA. Naona binti alilazimisha ila bimkubwa akazidiwa kwa sababu ya binti kukojozwa.

Nina stori kama hiyo profil fotoğrafı
Nina stori kama hiyo2 yıl önce

Maelekezo ya uislamu, ukitaka kuoa haswa muangalie mama yake ana tabia gani? Hivyo ndivyo atakavyokuwa binti yaani mama kama hana stara/adamu na heshima binti yake ndivyo atakavyokuwa hivyo hivyo hawawezi kupishana maana malezi kayachukua kwa mama yake so hapo kaoa sivyo ndivyo

Hafidhi Marijani profil fotoğrafı
Hafidhi Marijani2 yıl önce

Musaa huko aliko 😕

Hamza Mbasha profil fotoğrafı
Hamza Mbasha2 yıl önce

Jamaa ana shidah kubwa mama mkwe kashampa kiburi mtoto wake

Benzer Videolar

Mama went undercover 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
4:25

Sensitive content

Mama went undercover 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Amaka

361,354 görüntüleme • 1 yıl önce