Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

Mwabukusi amewanyoosha ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

95,297 Aufrufe โ€ข vor 2 Jahren โ€ขvia X (Twitter)

10 Kommentare

Profilbild von Daktari Wa Manesi ๐Ÿ’‰๐Ÿ’Š
Daktari Wa Manesi ๐Ÿ’‰๐Ÿ’Švor 2 Jahren

Jamaa anakubalika sana sio kwa shangwe hilo

Profilbild von Isaya Machaine,CPSP (T).
Isaya Machaine,CPSP (T).vor 2 Jahren

My thoughts are with this nigga ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

Profilbild von M A G I R I
M A G I R Ivor 2 Jahren

๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

Profilbild von +919703635290 PALESTINE ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช
+919703635290 PALESTINE ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ชvor 2 Jahren

@Advocate_Jebra amekaba mpaka penalty ๐Ÿ’ช๐Ÿ‘โœŠ๐Ÿ™Œ

Profilbild von Man jadu
Man jaduvor 2 Jahren

Kuna mtu Campaign na matokeo kama kilimo cha Alizeti๐Ÿ˜

Profilbild von M A G I R I
M A G I R Ivor 2 Jahren

๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

Profilbild von muuza laptop na simu
muuza laptop na simuvor 2 Jahren

Kuna jamaa katoka njee alivyosikia na mshindi wetu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Profilbild von Usinune Basi
Usinune Basivor 2 Jahren

Ilikuwa inajulikana jamaa lazima ashinde kama kura zitasimamiwa kwa haki. Hata uchaguzi mkuu hapa nchini ungekuwa wa huru na haki kile Chama kingeshapoteana toka 1995

Profilbild von Yapela $ankara
Yapela $ankaravor 2 Jahren

ukiangalia video vizuri kuna jamaa kasimama kwa ghadhabu hapo...

Profilbild von Malicky
Malickyvor 2 Jahren

Jamaa alie kaa kushoto kwa huyo mama anae tangaza matokeo kaumia sana. Maana wakati ana muondoa Mwambukusi alimuondoa kwa Mbwembwe mno. Finally Mwambukusi hawezi kuwa Mbunge uchaguzi ujao

ร„hnliche Videos