Loading video...
Video Failed to Load
Mwaka wa moto sana huu
43,108 views • 1 year ago •via X (Twitter)
11 Comments

Kadogo5511 year ago
Mwaka huu ndo huu kitawaka Asikiaye na afahamu

Shija11 year ago
Duu🤣🤣

M.A.H.E.N.G.E1 year ago
Hawa sio POLICCM kazi ipo mwaka huu.

Solar Heavy1 year ago
take the journey

ELIUD ELIAS1 year ago
Sana sana sio kidogo kiongozi mwaka wakutoa michango mingi mwaka wakulinda viongozi tusikubali viongozi Wala Wana nchi kuchukuliwa kindezi

mwaluko ndejembi1 year ago
KUMEKUCHA mwaka huu mpaka uje kuisha sijui

Prof Et Al1 year ago
Hiyo ni code

Magic1 year ago
🤣🤣

Singila1 year ago
Kumbyok. Kuna mtu ataenda shrk ila wapi????

Melkisedek Kaijage1 year ago
Kumeanza kuchangamkaaaaa

jmm_thinker1 year ago
Hii code imetoka kimchongo sana.... daadek
