Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Mwendokasi ni hatari.
109,476 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)
11 Kommentare

Kweli Mwendokasi hatari😀😀😀👆

Oyaaaa Una ,unaaaa Una naa, naaaaaa namba yake hapooooo

Hapo kwenye haki na wajibu wa abiria ametufunga kamba

[NINTENDO] Exclusive Now Available ➡️ #AAAclock ➡️ #SwitchOnline #SwitchOLED

Kulipa nauli inakuaje ni haki au ni wajibu ?

Huyu poti ni mzuri mno

Jambo afande @tanpol Naomba mawasiliano ya afande nimuelekeze kidogo kuwa haki ya abiria kufikishwa salama na wajibu wa abiria kulipa kodi. Ni soml refu kidogo hivyo nitachukua muda kumuelekeza afande wetu.

Demu mkali kinoma

Kiukweli dada zetu wa kibongo ni wazuri,wawe weupe au weusi ni 🔥🔥🔥

Mm nimetamani asiangalie pambeni, qangalie huku mbele ya camera nilipo.

WP nani huyu
Ähnliche Videos
Sensitive content
😂💔 mwizi alitamani mwendokasi ipasuke atoke 🔥
Kev.
230,503 Aufrufe • vor 2 Jahren
