Sensitive content
This media may contain sensitive content.
Loading video...
Video Failed to Load
Mwenyezi mungu atupe mwisho mwema daaaa ...
135,722 views • 1 year ago •via X (Twitter)
11 Comments

Kumfundisha mtu Lorry mpk akaiva na kuwa dereva kabisa ni moja kati ya kitu kigumu sana mana una risk uhai wako na wake at the same time🚶🚶🚶 Allah amasamehe madhambi yake

King of the road ni slogan ya Scania. Kama ameshindwa kupata jina la kampuni aweke namba za gari kampuni itajulikana tu.

Eeh Mwenyezi Mungu 🥲🥹😭 asije kuwa ni yule Dadaetu wa umu fanya kufatilia kaka

King of the road sio campuni ni stick tu yote kwa yote tujiadhari kipindi iki Cha mwisho wa mwaka

Jamaa kashindwa kutuliza mkono kwenye plate namba ili gari itambulike kwa wepesi

Ishajulikana mufti

space meets sound

JE NITARUDI NA ROHO YANGU AU NITARUDI MAITI....MI SIELEWI.......

Aiseee Apumzike kwa amani

@Ireneigora upo salama Mamaa?!! Kama bukheri wa afya basi kheri

Kampuni king of the road tena🤦♂️
Related Videos
Sensitive content
Mwisho wa maisha yetu anayajua Mungu pekee.... RIP
Ms Bee🌹
113,480 views • 1 year ago
