Загрузка видео...

Не удалось загрузить видео

На главную

Mwijaku anapigwa Character Development humu...

101,249 просмотров • 1 год назад •via X (Twitter)

Комментарии: 10

Фото профиля Lumola Steven Kahumbi
Lumola Steven Kahumbi1 год назад

Mnawasaidia sana MaCCM ku-share drama zao. Nimeona hata jana ile drama ya Mrisho Gambo ilivyopewa airtime na hii issue ya Mwijaku. MaCCM wakibanwa huanzisha mambo mengi ya kipumbavu wakijua watanzania wanapenda zaidi kufuatilia upumbavu kuliko mambo ya msingi, Msiwasaidie.

Фото профиля Dickson Mnanka,FRS (T)
Dickson Mnanka,FRS (T)1 год назад

Japokuwa simkubali @MwijakuBurton kwa sababu namuona kama Opoetunist tu, kwenye hii issue sioni kosa lake. Wale mabinti ni watu wazima na wana akili timamu tena wanafunzi wa chuo kikuu.

Фото профиля FANCO
FANCO2 лет назад

Izuku Midoriya, Katsuki Bakugo, Ochaco Uraraka, Shoto Todoroki, All Might... Choose your favorite character from 106 characters of “My Hero Academia” and get a personal seal at You can sign your name with your favorite MHA character by simply stamping it.

Фото профиля Vickyson
Vickyson1 год назад

Hakuna under-age pale! Aliempiga mwenzie afunguliwe kesi ya jinai. Siyo mke na Hana hati miliki ya kummiliki Mwijaku. Kila mtu analiwa kwa urefu wa kamba yake. Kuna mabo mengi ya Serekali kufanya Hili la watu wazima wasomi kugombea mume wa mtu waliache!

Фото профиля 𝐒𝐡𝐢𝐠𝐞𝐥𝐥𝐚 𝐭𝐨𝐱𝐢𝐧 🇹🇿
𝐒𝐡𝐢𝐠𝐞𝐥𝐥𝐚 𝐭𝐨𝐱𝐢𝐧 🇹🇿1 год назад

Afungwe

Фото профиля 𝐋𝐚𝐛𝐞𝐥𝐥𝐚 𝐌𝐚𝐟𝐢𝐚
𝐋𝐚𝐛𝐞𝐥𝐥𝐚 𝐌𝐚𝐟𝐢𝐚1 год назад

🤣🤣

Фото профиля bigboy
bigboy1 год назад

Ningekuwa mi ndo mwijaku ningefungua mashtaka ya kuwashtaki wale mabinti na huyu Mama kiherehere..

Фото профиля Ally Wajih
Ally Wajih1 год назад

Kwanza nilitgemea ukiwa na tuhuma kama hizi, CROWN MEDIA ilitakiwa kumsimamisha kazi Mwijaku mpaka jambo lake litakapo isha.

Фото профиля 𝐋𝐚𝐛𝐞𝐥𝐥𝐚 𝐌𝐚𝐟𝐢𝐚
𝐋𝐚𝐛𝐞𝐥𝐥𝐚 𝐌𝐚𝐟𝐢𝐚1 год назад

Kuna uzi nimeuandika

Фото профиля Paul Julius Kinyaga (Paul mkali)🇹🇿
Paul Julius Kinyaga (Paul mkali)🇹🇿1 год назад

Kanafiki haka kwamba hakawezi kutaja jina mwijaku

Похожие видео

HUYU MWIJAKU FALA SANA
4:02

Sensitive content

HUYU MWIJAKU FALA SANA

CHIEF GODLOVE

49,605 просмотров • 1 год назад