Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

🔷🔷🔷MZANZIBARI amlipua SAMIA Suluhu ,,,?!?

29,026 Aufrufe • vor 2 Jahren •via X (Twitter)

10 Kommentare

Profilbild von Buffet
Buffetvor 2 Jahren

Amesema ukwelii kabisaa yaan....Ila ili zengwe la kuvunja muungano duh Marais wengi wanalikwepa sijui kwa nn??

Profilbild von Nyokamze$💵🇿🇦🔥
Nyokamze$💵🇿🇦🔥vor 2 Jahren

Hakika ukweli mchungu ✌🏻

Profilbild von Abubakar Mzeru
Abubakar Mzeruvor 2 Jahren

Wazanzibar watamlaumu mama mpaka kufa kama hata chagiza serikali 3 au kuipa Zanzibar haki ya kujitawala kama tu blacks wa US wanavyomlaumu Obama kwa kutosolve sheria za ubaguzi wa rangi

Profilbild von Garnet
Garnetvor 2 Jahren

Huyu yuko hai lakini toka aongee haya maneno🤔

Profilbild von George E. Mwaipungu
George E. Mwaipunguvor 2 Jahren

🔷🔷🔷Yupo anadunda

Profilbild von VOX POPULI📢
VOX POPULI📢vor 2 Jahren

Zanzibar wapewe uhuru wao, Tanganyika yetu irudi tanze upyaa Muungano au kila mmoja akae kivyake. Ilivunjika USSR na maisha yakaendelea sembuse hii JMT?? Vunja Muungano uchwara huu

Profilbild von Drac_ula
Drac_ulavor 2 Jahren

👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏🙏🙏🙏🙏🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡safi Sana Huyu Mzee Mungu amtunze na tujifunze kwake Mzee heahima yako

Profilbild von Lutu II
Lutu IIvor 2 Jahren

🤔🤔

Profilbild von Salumu Mchovu
Salumu Mchovuvor 2 Jahren

Watu wamechoka sasa CCM mujiangalie upande wapili

Profilbild von Chaz Murimi 🇹🇿🇰🇪🇺🇸🇺🇦🇮🇱
Chaz Murimi 🇹🇿🇰🇪🇺🇸🇺🇦🇮🇱vor 2 Jahren

Mzee amelipua kisima

Ähnliche Videos