Loading video...
Video Failed to Load
Mzee is very right, anaonekana kachoka๐
18,736 views โข 3 years ago โขvia X (Twitter)
10 Comments

Raj3 years ago
Hapo ndipo Psychology inapoingia, vijana wengi aswa wa kiume attachment figure wao ni Mother ndomana mda mwngi wanajikuta wakiwa na ukaribu na Mama kuliko Baba.

Magae3 years ago
Watoto wa kiume wengi wanaaanz kuw na mapenz na baba zao pale ambapo na wao wameshaanz kuitwa mababa ndio hugundua ukwel na umuhimu wa baba

Pepsi Baridi ๐3 years ago
Anasema ukweli๐

๐ด๐๐๐๐๐๐๐ ๏ฃฟ3 years ago
๐๐๐๐

Mr. Farmer3 years ago
Mshua kaamua kufunguka ๐๐

๐ด๐๐๐๐๐๐๐ ๏ฃฟ3 years ago
Madogo wanamtenga

RAPHAEL PHAUSTINE3 years ago
Anatia huruma Sana ๐๐๐

J M Said3 years ago
Baba ametoa ya moyoni

Mkanaani ๐ฎ๐ฑ๐น๐ฟ3 years ago
Hii ni kweli ๐

tOps๐ฆง3 years ago
@mgao_basil angalia uspokeenlaana dogo๐น
