Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Mzee wa maboko 😆
11 Kommentare

Sasa Kama Hapo Tundu Lissu si Kutafutana Uadui usio na Sababu yaani Kiongozi wa Mpira Kashakaa Upande wa siasa.

Sijawahi kuona kiongozi mjinga kama huyu Jamaa, huyu hafai hata kuwa mjunbe wa nyumba kumi. Jamaa halina kauli za kiuongozi kabisa sijui lilipataje hiko cheo. Tundu lissu sio saizi yako na huwezi kumpata hata utembee kunyeo juu pumbavu wewe.

Kuna mzee wa Yanga toka Zanzibar alisema,"Awe na akili timamu ama sio akili timamu raisi ataucheza mchezo."

Mkuu ujumbe wake huo umfkie na ufike @Tanfootball @tplboard

Huyu mzee kumbe mbumbumbu kiasi hiki. Tena mchochezi Alikuwa na ulazimagani kumtaja Lisu kidhalimu namna hiyo? Hafai kuwa mwenyekiti wa TFF

Na ndo maana Simba wanadeka sana

West Coast Delivered ☑️

Halafu akaletaga utetezi wakindezi kweli

Kawa kawaida

jamaa anapiga kazi ila wanampa kisirani wahuni 😂

Yaan huyu kafanya mpaka kazi ya urais wa TFF ionekane ni kama uenyekiti wa kamati ya harusi
