Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
Na hii bado MillardAyo hajacheka
14,633 просмотров • 3 лет назад •via X (Twitter)
Комментарии: 10

angel bellerin02🍀💶⚽3 лет назад
Huyu jamaa mkavu sana 😂

Sulle3 лет назад
kweli aisee... anaitendea haki kazi yake

⚔️3 лет назад
Hapo baada ya interview lazima alijitengea kama masaa mawili acheke tu mwenyewe!

Sulle3 лет назад
😂😂 kweli aisee

Shamba Boy3 лет назад
Daaahh!! Na hapo ukicheka tuu unaonekana umemdharau Mtumishi wa Mungu

seleman Lyaka3 лет назад
Hyuu ndo msukuma wa kwanza mhongooo

bint wa kipare3 лет назад
😄😃😃😃😃anakutan na mazito huy

𝑩𝑩𝑴 𝕏3 лет назад
Huyu Dada ni Kichaa

Man of protocol3 лет назад
Huyu zumaridi anafikiri Mungu ni binamu yake kafika hatua ya kuvuruga vichwa vya watu 💔💔

CERTIFIED BROKE3 лет назад
@angelbellerin02 Kwani huyu alitoka vipi mahabusu..😅

