Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Na ki zambe...
12,264 görüntüleme • 1 yıl önce •via X (Twitter)
10 Yorum

Latto 𝕏1 yıl önce
Waliokuwa wanajua, anaimba Nairobiii, Mombasa, Nakuru... Tujuane hapa... Video kwa Comments 👇

Mdudu1 yıl önce
Sio Kwamba Hakuimba Nairobi, Mombasa na Nakuru. Ile ilikua ni version ya Nyimbo Kipind Ametumbuiza Kenya.

Poshi_mwaka1 yıl önce
Dah

Nigel de Jong1 yıl önce
Sasa mbona imenichukua muda mrefu sana kulifahamu hili

Ten king1 yıl önce
Lakini verse ya pili aliimba Nairobi, Mombasa, Nakuru, Kisumu so tulikua sahihi

Ten king1 yıl önce
😂

Rodger1 yıl önce
Ningeliwa pesa yangu hapo mkuu

Teejay Jordan1 yıl önce
Alooo

𝟐𝟒𝐡𝐨𝐮𝐫𝐬 𝐨𝐟 𝐇𝐮𝐥𝐤_𝕏〽️™️1 yıl önce
sahihi aliimba hivyo verse ya pili 😁

BAMSI1 yıl önce
Nimecheka kifala na nimejiona boya kishenzi 😂😂
