Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Na tumewapiga haswaa 😂
10 Yorum

Ila timu yangu mashabik nidhamu hatuna kabisa😂😂😂kesho tuwasikilize wachambuz sasa😂😂😂

Ssio kwamba walikuwa wanatafuta evidence ya kufile case kuwa wamefanyiwa vurugu that will held us responsible

Kuna mwamba kakimbia na lile goma lao 😅🤣 stewards wangemuacha wakapata adabu dadeki zao 🤣

Ngoja kwanza kuna kajamaa kalikua kanaiba ngoma ya waarabu wakamshtukia dadek 😂😂😂

Kuna muda unawaza kama Msimbe yaani unafurahi watu kufanya fujo🚮 Kupiga watu unaona poa ngoja mfungiwe kuingiza mashabiki ndio utajua umhimu wakua na Akili ukiwa shabiki

Unachofurahia unajua madhara yake lakin au unapost na kuandika usenge

Shabiki wa kweli anafurahia hii? Hasara kwa nani? Na mkifungiwa mtaanza kulia?

Next game mjiandae bila mashabiki

Ni sawa, si tutakuwa kwao

Yan Group stage tena Shirikisho mnangoa viti? Mnapiga mashabiki? Subirini rungu la CAF Hamna game mtacheza tena na mashabiki bata nyie
