ๆญฃๅœจๅŠ ่ฝฝ่ง†้ข‘...

่ง†้ข‘ๅŠ ่ฝฝๅคฑ่ดฅ

Na tumewapiga haswaa ๐Ÿ˜‚

142,684 ๆฌก่ง‚็œ‹ โ€ข 1 ๅนดๅ‰ โ€ขvia X (Twitter)

10 ๆก่ฏ„่ฎบ

Trixie Cleaning Solution ๐Ÿ’ฆ ็š„ๅคดๅƒ
Trixie Cleaning Solution ๐Ÿ’ฆ1 ๅนดๅ‰

Ila timu yangu mashabik nidhamu hatuna kabisa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚kesho tuwasikilize wachambuz sasa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

@Kim Hustler ๐Ÿ‘‘ ็š„ๅคดๅƒ
@Kim Hustler ๐Ÿ‘‘1 ๅนดๅ‰

Ssio kwamba walikuwa wanatafuta evidence ya kufile case kuwa wamefanyiwa vurugu that will held us responsible

Abdulkadir(AJ) ็š„ๅคดๅƒ
Abdulkadir(AJ)1 ๅนดๅ‰

Kuna mwamba kakimbia na lile goma lao ๐Ÿ˜…๐Ÿคฃ stewards wangemuacha wakapata adabu dadeki zao ๐Ÿคฃ

phina,,, ็š„ๅคดๅƒ
phina,,,1 ๅนดๅ‰

Ngoja kwanza kuna kajamaa kalikua kanaiba ngoma ya waarabu wakamshtukia dadek ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Max Dowman ็š„ๅคดๅƒ
Max Dowman1 ๅนดๅ‰

Kuna muda unawaza kama Msimbe yaani unafurahi watu kufanya fujo๐Ÿšฎ Kupiga watu unaona poa ngoja mfungiwe kuingiza mashabiki ndio utajua umhimu wakua na Akili ukiwa shabiki

Joe Cleopa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ็š„ๅคดๅƒ
Joe Cleopa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ1 ๅนดๅ‰

Unachofurahia unajua madhara yake lakin au unapost na kuandika usenge

Muny Sima ็š„ๅคดๅƒ
Muny Sima1 ๅนดๅ‰

Shabiki wa kweli anafurahia hii? Hasara kwa nani? Na mkifungiwa mtaanza kulia?

Boyfriend Babu ็š„ๅคดๅƒ
Boyfriend Babu1 ๅนดๅ‰

Next game mjiandae bila mashabiki

Trica Online Store ็š„ๅคดๅƒ
Trica Online Store1 ๅนดๅ‰

Ni sawa, si tutakuwa kwao

Quintone Mwape ็š„ๅคดๅƒ
Quintone Mwape1 ๅนดๅ‰

Yan Group stage tena Shirikisho mnangoa viti? Mnapiga mashabiki? Subirini rungu la CAF Hamna game mtacheza tena na mashabiki bata nyie

็›ธๅ…ณ่ง†้ข‘