正在加载视频...
视频加载失败
Naam 🙌🔥 Tanzania
97,501 次观看 • 2 年前 •via X (Twitter)
10 条评论

@iam_JacksonJ Huyu apewe kazi ya makala katika kituo cha redio au tv…Duuh Kiswahili kina ulimi wake bhana,nimejiona mkimbizi ghafla 😂

Haha kbsa

@iam_JacksonJ Kwahiyo ni naibu Waziri au manaibu mawaziri?

@iam_JacksonJ Kwenye media wapo kina baba levo😁

We jamaa 😂😂

@iam_JacksonJ Hakuna kisicholipa ukiweka efforts, unaweza kukomaa na udaktari wako na science nyingiii aafu mwana anatoboa fasta sana kwa kiswahili tu.

Huyu leo nampeleka mjini.. leo lazima waangalie watz wote.. dogo watamuona.. lazima dunia ifunguke kwake.. ni muda wake

@iam_JacksonJ Oya kuna vingine ameongea apo watu wana piga makofi ila najua katuacha wengi hewani

Nimependa anavyoongea 🙌

@iam_JacksonJ Msenge yuko vizuri, hiki tunachoongea daslam ni kichina 😅
相关视频
Watanzania na nchi yao huwambii kitu 🙌🇹🇿🇹🇿 Mungu ibariki Tanzania ❤️
Prisca Kishamba
16,407 次观看 • 1 年前
Sensitive content
Home kama home 🔥🙌❤️
Kev.
121,294 次观看 • 2 年前

