Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Nabii mwenye karama ya ajabu.
10 Yorum

Dr. Kala. MD2 yıl önce
@MPOGOMI Sometimes you just need confidence wala sio capital.😂

Daktari Wa Manesi 💉💊2 yıl önce
Jamaa hana tofauti na wale watu wa tuma kwenye namba Hii 😃

✖‿✖2 yıl önce
😂😂😂na watanzania tunavyopenda vitu bya uongo 🙌🏾🙌🏾 na mimi mwakani naanzisha kanisa

Thirsty Kipsoiwet 🇰🇪 🇳🇱2 yıl önce
Its people with low IQ who run economies

Hell-Devil 👿2 yıl önce
Hapo hata missionaries walioleta hayo mambo Africa wangeshangaa

Saimation2 yıl önce
Before hajahamia huko,alkua na kabisa nyuma ya nyumba nayoishi watumishi wake walkua miyeyusho sana wananyoa vipara na kuvaa Makoti ya udaktari😂😂

polycarp2 yıl önce
Nabii kama anaona kesho atoe sure odds tu.. Sadaka haitokuwa issue kwake.

NesiMkunga2 yıl önce
😀👋

M A G I R I2 yıl önce
😁😁

Samatime Car Dealers Co Ltd2 yıl önce
Hii Industry ya Injili inakua kwa speed sana.. . . . .
