Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Naibu Waziri 😂😂
89,891 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)
11 Kommentare

Tulimkosea nini Mungu??

😂😂

Kwaiyo kwenye 60 akitembelea 49 kinabaki kijiji chenu tu 😂😂😂 Haya ngoja niwaforwadie wanakijiji wake hii video wamuone anavyojisifia huku😅

😁😁

💪 Merica, we're taking it back. 💯 You like Trump, you know it, time to show it. ✅ T's for Trump here:

😂😂😂🫵🏽🫵🏽🫵🏽

Kusema ukweli Taifa hili limeyumba pakubwa na kuna Anguko kubwa yale ya Sauli yanatokea muda si mrefu Viongozi wamekuwa wapumbavu kupita maelezo

Katoa siri ya kambi; We are a sad country sababu ya ujinga wetu.

Real Or AI ?🤔

Jamaa huwa namuona kama hamnazo. Sasa hakuwa anawaza hii itawafikia kile kijiji kimoja?😂

MUNGU katupa adhabu kubwa sana kuwa na Bunge kama hili
Ähnliche Videos
Naibu Waziri wa Elimu wa Tanganyika Wanu Hafidhi. 😂😂😂😂😂
joseph_selasini
76,813 Aufrufe • vor 3 Monaten
