Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
Ndio mambo yalikua hivi 🤔
Комментарии: 10

Breaking point..⛓️💥⛓️💥⛓️💥☣️1 год назад
Ilikuwa ni haki yao kulamba ule umeme maana mauza uza yalikuwa mengi sana.🤣🤣

B_rabbit1 год назад
Alafu anakuja mjinga anasema 15'+ ni nyingi

TOUGH LIKE TOPHER1 год назад
Woye wanaolalamika walisubiri tupoteze point wafurahi gape la kuwafukuzia timu yao like kubwa...unadhani wangekua wameshatangazwa kuwa mabingwa wangelalamika...akili ku mkichwa...

iamsisco1 год назад
mchezo wa soka ukishaudhalau namna hii lazima ukuumize mwisho wa siku

Solar Heavy1 год назад
you never heard this before

Denzo1 год назад
Halafu wanalalamika shubamit

Jibe Jr🇹🇿1 год назад
Upuuzi kama huu bado kuna wapuuzi wanataka kuendekeza ,na huyo ni mmoja tu ,yalifanyika hayo zaidi ya mara 4

alex mheta1 год назад
Ushawahi kuona wapi kipa anaomba kutibiwa anapewa kadi je angejiangusha si angepewa na makofi

Mchachu, PhD🐐1 год назад
@SadahMsangi hii umeiona?

Abd Bosko1 год назад
Semaji @ahmed__ally wale wanaolalamikia muda hii hawajaiona au?
