ๆญฃๅœจๅŠ ่ฝฝ่ง†้ข‘...

่ง†้ข‘ๅŠ ่ฝฝๅคฑ่ดฅ

Ndomana wanasema muwahi nusu saa kabla ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„

100,301 ๆฌก่ง‚็œ‹ โ€ข 1 ๅนดๅ‰ โ€ขvia X (Twitter)

10 ๆก่ฏ„่ฎบ

Ole Sendoro Kingโ€™oso ็š„ๅคดๅƒ
Ole Sendoro Kingโ€™oso1 ๅนดๅ‰

Kama kuna kitu WaTanzania wanatakiwa kujibunia ni TRENI ya SGR kuzingatia muda! Hakuna shirika la ndege duniani linashida standards za SHR ya Tanzania kwa kujali muda.

Adventure-360 ็š„ๅคดๅƒ
Adventure-3601 ๅนดๅ‰

Saana

paul dicanio makoye ็š„ๅคดๅƒ
paul dicanio makoye1 ๅนดๅ‰

Huyu ametupanga mzee ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Mecky_M ็š„ๅคดๅƒ
Mecky_M1 ๅนดๅ‰

๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃakili hana hasa angekimbiza mpaka wapi? na hivi treni halina side mirror?

Daktari Wa Manesi ๐Ÿ’‰๐Ÿ’Š ็š„ๅคดๅƒ
Daktari Wa Manesi ๐Ÿ’‰๐Ÿ’Š1 ๅนดๅ‰

Achukue boda haifukuzie kituo kinachofuata

Adventure-360 ็š„ๅคดๅƒ
Adventure-3601 ๅนดๅ‰

๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†

Swahili Troll ็š„ๅคดๅƒ
Swahili Troll1 ๅนดๅ‰

Jamaa kasahau kuel edit kipande cha mwisho anachosema ushaipata hiyo ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿซต๐Ÿพ

PEng(T) R. Ngalason ็š„ๅคดๅƒ
PEng(T) R. Ngalason1 ๅนดๅ‰

huyo mpuuzi kwanza aombe radhi @tzrailways maana hakuna treni inaondoka ikiwa milango wazi. Hapo hiyo treni itakuwa ilikuwa imeshuaha abiria na ilikuwa inahamishwa kutoka njia moja kupisha treni nyingine. hawa wasanii uchwara watafuta content wajifunze kuigiza kwa uhalisia

Classickizito ็š„ๅคดๅƒ
Classickizito1 ๅนดๅ‰

Kuwahi ni Muhimu ๐Ÿ˜ SEMA sisi ndo hivo Tena

Adventure-360 ็š„ๅคดๅƒ
Adventure-3601 ๅนดๅ‰

Saana

็›ธๅ…ณ่ง†้ข‘