Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

Nguo walizitoa wapi kama sio kuua polisi Anko.

21,782 Aufrufe • vor 15 Tagen •via X (Twitter)

14 Kommentare

Profilbild von Trap Queen
Trap Queenvor 15 Tagen

Hawa vibaka wachadema waliua askari wetu

Profilbild von Master Mind♻️
Master Mind♻️vor 14 Tagen

Usiongee jambo kama hukijui hizo nguo walikuwa wana zivua wanazitupa wana sepa laia wana okota wana vaa kama hujui mambo uliza siyo kuropoka tu

Profilbild von Papii Mananasi
Papii Mananasivor 15 Tagen

A few moments later 😂😂

Profilbild von BARADHULI
BARADHULIvor 15 Tagen

Za kichwa tu😁😁

Profilbild von 2pac shakur
2pac shakurvor 14 Tagen

hao wote walikufa😀

Profilbild von Bongozozo!!!
Bongozozo!!!vor 15 Tagen

Hao ni vijana kutoka nnje we matako...........hakuna mtanzania anaweza kufanya ivyo we mmbwa,,au mama ako akusema hivyo

Profilbild von Black Mamba
Black Mambavor 14 Tagen

Katika hali kama hii eti walitaka waachwe walipukutishwa kama panzi wazee wa kupigania haki

Profilbild von MASEO YAMASHIRO
MASEO YAMASHIROvor 15 Tagen

Kuwatetea waandamanji nayo ni ngumu sana. Kuna mtu lazima atajibu mauaji haya. Ngoja iendelee kunyesha tutajua panapo vuja

Profilbild von MWALIMU🙏🇹🇿
MWALIMU🙏🇹🇿vor 15 Tagen

Kk uyo jamaa hana akili achananae anaendeshwa na mihemko sana

Profilbild von BARADHULI
BARADHULIvor 15 Tagen

sahihi kaka

Profilbild von Mr. handsome
Mr. handsomevor 15 Tagen

Sasa hapa naamini waliua polisi

Profilbild von papaa
papaavor 13 Tagen

Mwenezi alisema hiyo ni AI

Profilbild von 𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿
𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿vor 15 Tagen

@kigogo2014 vijana wa Lissu hawa

Profilbild von Professor Jamvileo
Professor Jamvileovor 14 Tagen

Vilikuwa vinafurahisha kabla ya kutokea yaliyo tokea

Ähnliche Videos