Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

Ni hatariiiiii🙌🏽

31,884 Aufrufe • vor 2 Jahren •via X (Twitter)

11 Kommentare

Profilbild von Latto 𝕏
Latto 𝕏vor 2 Jahren

Oyaaaaa Huyu mzee amemdhibiti mwizi ila Chamoto kakiona🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽 Mzee kasema hela yangu ya Mafao unataka unikwapue 😟😟😟 Video kwa Comments👇🏾👇🏾

Profilbild von Prince Of Mwanza
Prince Of Mwanzavor 2 Jahren

Mwizi mmoja ana nyundo na Panga alafu mpo wanaume wawili..si umaku huo..umekaa ndan unamuamgalia mwenzio

Profilbild von Justin
Justinvor 2 Jahren

Waliokuwepo ndani wazembe sana, wamechelewa kutoka. Na aliyepambana alikosea kuangalia chini alitakiwa am-face asimpe nafasi ya kumshambulia

Profilbild von Jicho_la_tatu
Jicho_la_tatuvor 2 Jahren

Sema huyu mzee kayumbisha Chama Sema n shujaa sio kidogo alijua Hana uwezo wa kumzuia lakn akajaribu na kafanikiwa na majeraha kapata

Profilbild von Makunganya
Makunganyavor 2 Jahren

Matukio kama haya ndio utajua Chalamila ana akili au kachanganyikiwa. Vibaka sio watu, aidha anakuua au anakuibia

Profilbild von Jerubaal Xerxes
Jerubaal Xerxesvor 2 Jahren

Huyo mzee angekua hata na kalamu tu mkononi woi. Tungekula pilau ya mjuba. Usikose kalamu.

Profilbild von kid_ink255
kid_ink255vor 2 Jahren

Huyu staff sergeant wa kitambo

Profilbild von Mayombo
Mayombovor 2 Jahren

Hivi amefanikiwa kubeba hela hapo??

Profilbild von Zingibermc
Zingibermcvor 2 Jahren

Huyu asiombe nifanikiwe kuwepo alafu tumdhibiti, Huyu sio wa kuonea huruma Huyu mana ana panga na anakata kichwa Ina maana kadhamiria kuua. Hapa kauli ya Chalamila ya kipindi kiileee inabidi ifwatwe

Profilbild von Mponda Ambrose
Mponda Ambrosevor 2 Jahren

Ww umemuona alovaashati nyeupe na ndo anahangaika kuja mara haelew kama arudi

Profilbild von Dr. Mkombozi✌️
Dr. Mkombozi✌️vor 2 Jahren

Sasa apo kadhibitiwa wapi???

Ähnliche Videos