正在加载视频...
视频加载失败
Ni hayo tuu 😊
54,100 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)
12 条评论

CLARA🖤1 年前
Wamesema hawapokei ushauri kwa watu ambao hawana ndoa😎

Solar Heavy1 年前
whoa have you heard this yet?

KIRIKUU✏️1 年前
Uncle umeiva sasa safi

Idris1 年前
🙏🏽

S C O O B Y V E L L I 💯1 年前
Unaniibiaga sana MADINI yangu…😎

Idris1 年前
Au sio😅

mimilicious🌹🍒1 年前
Una mtu Idriss?

Idris1 年前
Sijaumba bado, si unajua kazi ya Mungu ngumu, we ushatengeneza mtu wako? 🤭

𝐢𝐚𝐦_𝐬𝐢𝐭𝐭𝐲 💚😻1 年前
Mshauri wa mahusiano na ndoa 😂😂

shangwe Ayo1 年前
Maliza kutoa ushauri uje utuambie tuna vaa ming’aro ya kuumiza watu macho lini . Familia imechoka kusubiri 🤣

Hassanali Mpita1 年前
Na huyo ni mtaalam bin mbobezi katika masuala ya ndoa na mahusiano😀😀

Idris1 年前
Kungwi 😂
相关视频
1:05
Sensitive content
Utaratibu ni ule ule.😂😂 Whatsapp: 0757637880 Andika: “Ni add” Hii ni kwa Grupu za SATIVA17 tuu , utapata mikeka bure hapa kila siku.
SIR TIVA
46,128 次观看 • 1 年前
