Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Ni majuzi...
30,076 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)
12 Kommentare

Mambo ni Motoo.. Sikiliza waziri alivyojibu... Video kwa Comments 👇

Naunga Mkono hili jambo lisiletewe Siasa Kupanga ni kuchangia " Ujauzito sio dharura " kwamba unaamka hii hapa No! Wachangie vifaa huduma wapewe bure huo ni mchango tosha sana kwa serikali yetu ili pia Tujiendeshe bila kukwama.

Majibu yale yale ya kifedhuri ,🥺eti watu ni wale wale wanao lipa michango ya harusi milioni 1 !!! Hivi ni kweli inangia akirini kweli?🥺

Mtu anaelipa mchango wa harusi million 1 hawezi kwenda kujifungua m/nyamala labda iwe dharura sana. kajibu kisiasa sana kalizunguka swali.!!

Yaani mpka wapata mimba mwezi wa 1 mpka wa 9 hujafanya maandalizi ya kujifungua wewe alafu unakuja kulalamika? Huu ni upumbavu. Hizi garama za kujifungua kawaida(bila upasuaji) zisimamiwe na wahusika waliobebeshana mimba kasoro kwa wale wenye mahitaji maalum.

Ni kama alichoongea Chala ni msimamo wa serikali ya @ccm_tanzania chini ya mama yao @SuluhuSamia Asanteni sana!! Karibuni mitaani

hili limasai nalo kumbe ni jinga tuu hv anajua ndugu zake wangapi wanapata shida kujifungua kijijini huko. pumbavuu kabisaa

Nihuzuni sana kama hawa ndio tuna wategemea umeulizwa swali unaanza kuelezea mambo tofauti ni huzuni jamani 😔😔😔

Wabongo tusijisahau fanyeni maandaliz mazur mke wa ume mnapokuwa mnalea ujauzito mjue Kuna kujifungua wekeni akiba ya pesa kidgo kidgo kwa ajiri ya mkeo au wew mwenyew kujifungua ni mhimu sana

- Retrograde

😂😂😂watz wanafk mwendo wa kugeukana majuz wwtu walikua wanalalamikia hosp za private hela mbele aya sasa na pia wanataka kumwona daktar bure kumb kweny maharus mnachangia mamilion

Kila neno linalo Toka kwa viongozi wa serekali liwe baya au zuri Lina baraka kutoka kwa serekali
