Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
“Ni mchezo tu”
60,402 Aufrufe • vor 2 Jahren •via X (Twitter)
26 Kommentare

Sisi Wanaume ni watoto wa kudumu hatukui tunapenda michezo 😃

Apewe na ulinzi kwa tafiti yake 😁

Honestly sijui mtazamo wa wengine lakin nadhani ni agenda za kipuuzi sana hizi eti Mwanaum hawez kukaa miez sita bila mwanamk. Mimi 27yrs simjui mwanamke Wala masterbation, sio nin matatiz bali kila nikitak kuna saut ya moyon inanizuia na kunijaza hofu. Am look wife material now

Sanamu lake liwekwe Gairo kila anaetoka Mwanza aone

Mama ampe ukuu wa mkoa. Au viti maalumu bungeni

Hii ni kweli kabisa💯💯 tofaugi na wao, wakitoka wakavua mbele ya mwingine na kuipokea kwa moyo we ushapitwa na wakati, ni kua haupo kwake tena ila mpo mpo tu! Chukua hii, anamaanisha wala hatanii

Mwambieni asimame tumsikie vizuri

Huyu ndo mwanamke wakuoa 👏🏾👏🏾👏🏾

😂😂😂😂😂 akili juu ya akili

Wewe wachaaa 😁😁😁 hiyo ni kwa upande wa wanaume tu tuelewane hapo

Eti ni watoto wa kudumu 😂😂😂

😁😁

Understanding women>>

Watoto wa kudumu

Mama 2pazie saut ubalikiwe sana

Kanisa la huyu mama lijengwe waapi😂😂😂😂😂

huyu dada ana akil sana

@forbiddenband_

Haya

Apewe Mauwa Yake Mapema😁

Ajengewe Sanamu Dodomaaaa 😂😂😂

mamdogo uishi milele

Huku nyuma hatusikii vizuri 🥳

She is sex and intelligent ila kuna ukimwi.

Haya bhana sawa

🤣🤣🤣🤣🤣🤣

