Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
Ni nouma arifuu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
50,001 просмотров • 2 лет назад •via X (Twitter)
Комментарии: 10

Daktari Wa Manesi 💉💊2 лет назад
Watu wa Arusha watengwe 😃

Ⓜ︎Ⓦ︎Ⓐ︎Ⓖ︎Ⓘ︎Ⓣ︎Ⓞ︎🏀2 лет назад
🤣🤣🤣🤣🤣

Doubled2 лет назад
Nimeishi Arusha kwa miaka mingi sana toka Class 1 mpaka form 6 , Nlichogundua watu wengi wa Arusha wana ushamba mwingi ila wanajificha katika kivuli cha kuwa wao ni wagumu ( Gangstars) . Sema hawawezi kubaliana na hilo

Bob2 лет назад
Hadi mapigo ya mbiyo yakaenda moyo

Oldugoreti lee koko2 лет назад
United state of Arusha

Spana & V.A.R Movement2 лет назад
Amekula Kiepe kabla hajafa 😂😂

Jerry Marley2 лет назад
@lollyproducts hii lafudhi vip boss 😂😂😂😂😂😂

Dj swai2 лет назад
Ma home boi kabisaa aoo machalii 😂😂😂pale kwamrefu maeneo ya cha njano

Mr.Gorilla🦍 aka Toto la UYOLE2 лет назад
Nyoka msafi alafu kala chipsi

Yanga_mtetezii2 лет назад
Azingatiwe hapo tusome tuwe kama cristiano🤣
