正在加载视频...

视频加载失败

55,287 次观看 • 3 年前 •via X (Twitter)

10 条评论

Cyancute ⭐ 的头像
Cyancute ⭐3 年前

Afu upo seriously hucheki nilikujibu dm angalia 😁

BANGALA 的头像
BANGALA3 年前

Ukiwa huna Medali ya CAF Shingoni kitu Pekee unachoweza kuvaa Shingoni nj Skafu 😂

Fundichuma🇹🇿 的头像
Fundichuma🇹🇿3 年前

@ahmed__ally kuna hawa wanatuma picha za x kwanini usiwablock? Wengine tunashare kauli za semaji la super league tukiwa na vitoto vyetu! Tunakosa confidence mkuu

Jr Boy 的头像
Jr Boy3 年前

😂😂😂 sema mwamba unakera Apa manara lazima ajibu 😂

S MO K 的头像
S MO K3 年前

OFA OFA........🔥 njoo nikuunge na GB 1 KWA MIA TANO (500) kwa watumiaji wa laini za HALOTEL tu, MALIPO NI BAADA YA KAZI DM 0612120757 -WHATSAPP au NITEXT

Mapung'o 的头像
Mapung'o3 年前

Wametania tu hawako sirias ki hivyo.🚶🚶🤣

Fetty Wakuache 的头像
Fetty Wakuache3 年前

Napend kukatikia mtalimboo

awesome 的头像
awesome3 年前

😃😃 😃 umeua vibee

Jamsheed Nassor 的头像
Jamsheed Nassor3 年前

Nimeielewa hii. Hiyo ndio Bei ya Chama. Wananchi mpooo! Haya jitutumueni muuze jengo. Tuko palee, Msimbazi. Tunaisubiri..🦁

O'NICE 的头像
O'NICE3 年前

Sisi azam fc tuliambiwa tutoe uwanja ndo tumpate fei chezeeni hao watani wenu mkithubutu kutueleza huo ujinga wenu nasema imekula kwenu

相关视频