Загрузка видео...

Не удалось загрузить видео

На главную

Nimeshangaaa kupita maelezo 😳😳😳😳

175,368 просмотров • 1 год назад •via X (Twitter)

Комментарии: 11

Фото профиля Richard Steven Itembe
Richard Steven Itembe1 год назад

Mwandishi wa hiyo Caption amepotisha, Ukimsikiliza muongeaji amezungumzia zoezi la kuaga wala sio kufika msibani , Sina uelewa na Uislam ila Kama Dini yao inakataza Zoezi la kuaga na mtu akafanya hivyo obviously inakuwa ni kosa kwa mujibu wa Dini yao

Фото профиля aman sadru
aman sadru1 год назад

Nadhan haujaelew tafsiri hajakataza kwend kweny msiba alichomaanisha kushirik ibada ya kuaga maiti

Фото профиля Ms Bee🌹
Ms Bee🌹1 год назад

Ooh sawa

Фото профиля Tatjana Gmeiner
Tatjana Gmeiner2 лет назад

I LOVE SINGING ❤️ My lovely followers ❤️ Nice to entertain YOU 🙂

Фото профиля KIJANAMWEUPE.
KIJANAMWEUPE.1 год назад

Dini yetuu sio yenu kwaiyo kilaa mtu abaki na dini yakee sisi tunaswalia nyie mnaaga kwa kufungua sura ya maitii

Фото профиля Ms Bee🌹
Ms Bee🌹1 год назад

Ok sawa

Фото профиля AMORIM ERA🇵🇸@allymohamed
AMORIM ERA🇵🇸@allymohamed1 год назад

Maelezo ya Sheikh na caption ni vitu viwili tofauti😂😂

Фото профиля Mankakidoti
Mankakidoti1 год назад

Sendo kali zipo Size 40-45 Bei:100k Simu:0692608572 Narung'ombe Mikoani na nchi jirani tunatuma Dar tunafanya delivery Naomba nisaidie kurepost

Фото профиля Al-hamis
Al-hamis1 год назад

Hakuna aya au Hadith ya mtume iliyokataza kuhudhuria maziko waambie waje na ushahidi wa Quran unaokataza hili Qur 60:8(surat al mumtahanah)

Фото профиля ninja
ninja1 год назад

Huo ndio ukweli kabisa wa dini yawo wala ajakosea hata chakula alipiga mkristo mwislamu atakiwi kula yani kifupi uislamu hautambui dini nyingine isipokuwa dini yao wapo tayr kuuwa mkristo wasema wameua kafiri kwahiyo kwa Mungu wanapata dhahabu

Фото профиля 𝐳𝐢𝐧𝐡𝐨⚓️
𝐳𝐢𝐧𝐡𝐨⚓️1 год назад

Kasemaa autakiw kuingia kwnye ile ibada ila kuendaa msiban unaenda

Похожие видео