Video yükleniyor...

Video Yüklenemedi

Ana Sayfaya Dön

Nitafute hela nikatembelee Sudan ya Kusini 😎🙏

122,979 görüntüleme • 1 yıl önce •via X (Twitter)

11 Yorum

Godygodie profil fotoğrafı
Godygodie1 yıl önce

Huyu atakua content creator,anaogopaje ng'ombe wakat ndio wanaish nazo 24/7

Solar Heavy profil fotoğrafı
Solar Heavy1 yıl önce

- Burn like Water

Mzee wa chaka🌎🇹🇿🇺🇬🇰🇪🇨🇩🇷🇼🇧🇮 profil fotoğrafı
Mzee wa chaka🌎🇹🇿🇺🇬🇰🇪🇨🇩🇷🇼🇧🇮1 yıl önce

Huyo wa town mbona Sema Alienda kutalii tu.

wezzey profil fotoğrafı
wezzey1 yıl önce

Naam

Nevy pungu profil fotoğrafı
Nevy pungu1 yıl önce

kwenye hiyo nyimbo nimesikia"kidinyana wee" halaf akapiga naishala ya kukataa🤠

haxo profil fotoğrafı
haxo1 yıl önce

ukikapata kama haka unakanunulia tu ng'ombe basi.

EFREMNGALEKA profil fotoğrafı
EFREMNGALEKA1 yıl önce

Aiseeee

X- reporter wa mchongo profil fotoğrafı
X- reporter wa mchongo1 yıl önce

Mkuu au tukatishe Kenya tuu kama tunaenda mbagala

#mgagagigikoko profil fotoğrafı
#mgagagigikoko1 yıl önce

Achol luo Sudanese

CHIMPAYE profil fotoğrafı
CHIMPAYE1 yıl önce

Ukitaka kuanza safari nishitue twende wote ndugu utalii wa ndani ya Afrika ni muhimu sana

Quol Abuu profil fotoğrafı
Quol Abuu1 yıl önce

Kule hela sio jifunze kutumia AK47 tu

Benzer Videolar

Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amemjibu Rais wa Marekani Donald Trump aliyetangaza kusitisha misaada nchini humo kisa madai ya ukiukwaji wa haki za Binadamu na Wazungu kunyanyaswa na kupokonywa ardhi wanazomiliki ambapo Ramaphosa amemtaka Trump aache kuingilia mambo ya Afrika Kusini kwakuwa hayamuhusu na kusema ardhi ya Afrika Kusini sio ya Trump hivyo hana haki ya kuwapangia cha kufanya. Ramaphosa amesema “Hii ishu ambayo Donald Trump anaiogopa sana, hii ardhi ni ya kwetu, sijui Donald Trump anahusika vipi na atafanya nini kuhusu ardhi ya Afrika Kusini kwasababu hajawahi kuwa hapa, aitunze America yake na tutaitunza Afrika Kusini yetu, Afrika Kusini ni ardhi yetu na inamilikiwa na Watu wote wanaoishi Afrika Kusini, Afrika Kusini haimilikiwi na Donald Trump” “Nikikutana na Trump nitamwambia, nitamwambia wewe Trump ni Mtu mbaya kwasababu unapendelea upande mmoja, Marekani kulikuwa na Watu wenye asili ya Marekani waliwaondoa na kuwaua karibu wote, sisi tunaishi kama Taifa la wote Watu weusi na weupe na tunatafuta suluhisho sisi wenyewe kuhusu ardhi, Trump atuache, atuache” “Wakati tukiwa tunakandamizwa na kunyanyaswa (na Makaburu ) hakuwepo hapa, hakupigana bega kwa bega na sisi na sisi wenyewe tulitatua tatizo kwa msaada wa Watu wengine Duniani Trump hakuwepo, kwahiyo aendelee na mambo yake White House na tutaendelea na mambo yetu, pambana na mambo yako na sisi hatutoingilia mambo ya Marekani” #MillardAyoUPDATES

millardayo

100,361 görüntüleme • 1 yıl önce