Loading video...
Video Failed to Load
Njia ni simple sana jaribu leo 😎
76,182 views • 1 year ago •via X (Twitter)
8 Comments

mkax1 year ago
nimejaribu kwa watoto wa majirani wote wameangalia nyuma😀😃😃😄😄😄😁😁

Deo🇻🇦1 year ago
Chali wangu huwaga anageuka nyuma mwazo mwisho

Simon1 year ago
Mtafukuza watoto wenu kirahisi sana haki ya MUNGU, unamkuta mtoto mikojo ilikuwa imem-bana sana unampeleka akojoe anaenda na anakuwa bize kufikilia juu ya mikojo iliyomjaa tumboni kumbe wewe uko kwenye kipimo, shauli zenu.

Andrea1 year ago
@grok unasemaje kwenye hili jambo

Kihanga nyerere1 year ago
Ni kweli Mimi nimeifanya

Chinyo Bijoga1 year ago
Mtatundanganya sana TU

ThreeTimes♟️1 year ago
Sijamsikia vizuri hapo sijui kasema kama nyumbani kwako Kuna Simba au sima

Chugga131 year ago
Kwahiyo huyu mtoto wa mpangaji mwenzangu ni wangu au? Mbona nimejaribu hapa na kageuka mara 2,👀
