Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Nomaa 😂😂🤦🏾♂️
76,767 görüntüleme • 7 ay önce •via X (Twitter)
46 Yorum

Nishaishikwa alafu nkaambia fala flani akuje anitoe from outside juu makarao hawataki MPESA just cash, akanishow niache kum enjoy ati nko na simu aje kwa cell. Hakukam!😂😂 Sijui kama video ka hizi humfikianga btw. Fala sana. Aliniudhi niaje hadi nkamaliza iyo urafiki😂😂

Si angekuja tu ajionee, huyo si rafiki

Baana💯

Afandeable housing

I see what you did there 😂😂

Last time kukuwa kwa affordable housing, hao caretakers waliniibia battery ya kabambe. Kutoka Thursday hadi sunday, hao mafala hawakuona ata sumni kutoka kwangu.

Mnakuanga na roho, unalala huko siku tatu?

Free food from random people who become friends, story na walevi and a top notch security lakini venye wameanza kugoganisha wasee vichwa kwa police cell, jaribu venye unaweza usilale ndani. Acha afande akunywe chai.

Hapa unapigia morio wako on a Friday evening akutumue za bail anakataa. Ati huwezi kua ndani na simu

@kden_prince Stenje ni different

Mostly depends on the case. As long as you can not interfere with the witness or investigation process. "Pigia watu wako nataka kutoka... "

Huyo morio ako kwa mlango haikosi imekam hapo wa mwisho. Denial nini nini 🤣

Hii stenje inakaa genje 🔥sioni writings kwa wall

Nikama ndio imefanywa renovation

Shida ni hatuezi kaa na furniture labda tu mwanaume... yoh! \o/

Uyo amesimama by the door haamini analala ndani

Huyo ni new comer

Ni how much

😂😂🤦🏾♂️ ni sare

How did they manage to sneak in with their phones

Kusneak tena ama mnapewa mtafute pesa

Why are they having only one shoe?

They have been arrested

They sent them to cells with only one shoe?

Yes, kwani what happens in Uganda?

Wameingiaje na simu na viatu mbili na mattress moja iko mpaka na blanketi?

We unaona vitu zako

Eeh after 2 yrs hivi hizi ndio zitakua affordable housing...koseni Kuna mbele

😂 shoe rack inabeba one shoe per pair

I hate this room.

😂😂

@ja_coast 😂😂🤦🏾♂️

Kwani hiyo cell haijawai shika mahabusu? That cell is way too clean.

Lol

Yaani Kuna cell zinakuwanga safi ivi 😂😂 hakuna ata kitu imeandikwa kwa ukuta

😂😂

#affordablehouse #BOMAYANGU #wekamawe Cape Town #Capeflats

ata kama nikugumu wakudumu atadumu📝

@TheeAbda Banaa jooh

🤣🤣🤣🤣🤣🤣

skia hizi fala.

@mallovah hii ni noma

😂😂😂

Hii account yako 🫣

onlyfensi jameni🙏🥵🤣

Uuuuuweh
