Loading video...
Video Failed to Load
Not gonna lie, Shanki has really spit on this one 🔥🔥🔥
11 Comments

"Wakenya wanalia na mohammed Ali"

"Kindiki Murkomen na Duale wana treatiwa kama vyombo vya wageni ju hawatolewi kwa cabinet."

"Watu wa kileleshwa mlichagua MCA ama Influencer Kila kitu anapost is Alai"

"Protester anapiga goon, polisi anapiga protester. Guess nani anahepa na goods?"

"Tunacomplain DROUGHT lakini mvua ikinyesha hatujengi boreholes na mnataka tuact like things are WELL"

Mob Love My Bro

Keep up the good work chief.

"Free education iliisha, large portion ya salary inaenda kwa school fees, hiyo ingine pia tunaMwai Kibaki"

"Wakenya wamechoka na wakiprotest wanashikwa wanapelekwa station ndo watake arrest"

Kindiki Murkomen na Duale wana treatiwa kama vyombo vya wageni ju hawatolewi kwa cabinet. Siiiet.

Msee amegrow sana na lines
