Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
Now this is creative 😂😂😂 Credits: kenyandictionary (IG)
231,442 просмотров • 3 лет назад •via X (Twitter)
Комментарии: 30

@ItsMiller_G Bae just asked kaa uko home na ukalenga but unasaka Ashley🤣🤣. Mwenye anakutaka humtaki, na umtakaye hakutaki🤣🤣🤣

Its been a while since i watched an ad till the end... Good one

Kali sana👏🏿 Kama ni mimi halafu aseme hawes make , naapisha deputy mara hiyo hiyo.I can't go through all that trouble for nothing.

Though it has some loopholes. Within a span of two minutes Ashley amekuwa kwa njia akija adi akapitia kilimani adi akasema hajui tena. And the two minutes our pal already alishachat ombachi adi akapika already

@VivyIna Bae aliwekwa parking since the previous day with 5 unread messages. Only fair her patience is rewarded with chicken masala.

Hahaha. Ads on roids. Our own sous chef, @mbary_ke in the mud. @ArapKamonjo @_Onsosh

😂 😂 😂 Mnatubebaga lakini... In 2 minutes dem ashaambiwa akam Ombachi akaulizwa mavitunguu na ni DONE DONE DONE in a minute hadi kuku ya Northlands ikageuzwa na Kenchic... 😂😂😂Watu si wajinga buana...

Ha ha ha. Good one.

Simp activities

Nice one! But garlic inakuaga “ minced”👣

@k_vosty @Aleko_alexo

I am @ombachi13 at 12.46 ati bora kuku🤣🤣🤣🤣🤣🫡

send that dancing OMBACHI gif. Thanks in advance

🤣🤣

🤣🤣

@SaveMyVideo

Mi akisema hawezi come nakata conversation hapo. Sipendi upuzi

@mutethyahrt

Followed hadi last sec. Madly creative.

🤣🤣😂😂😂

Very creative

After cooking the meal on one minute record time. 12.46pm. Pole aki

This is content!

@ombachi13 kuna story yako huku bhana

wait, this an ad?😂😂😂😂😂

I agree

Dogi sana

@omniscraper

@_CrazyNairobian huyo manzi amepata form kwingine😂😂💔

@SaveMyVideo
