正在加载视频...
视频加载失败
‘Nyumbani’ verse ya 4
38,399 次观看 • 2 年前 •via X (Twitter)
9 条评论

fred2 年前
@Jaybaddest__ Hapo kwenye Grammy ndio ilitaka aribu hii verse...ila poa

Kaiza Benson2 年前
Kidole chanini sasa master ?

Logics°2 年前
Hata ukikoroma bado still your cute pie 🥧🤠

Madundo2 年前
🔥🔥🔥🔥 kali sanaaa

Nigga hood the Mc✊🏿👮🏿♂️2 年前
✊🏿👮🏿♂️

Tamar Athuman:🇹🇿✨2 年前
Sijui ni masikio yangu pekee tu ninavyosikia beats za producer Majani kwa sasa hivi zina flavor ya midundo ya zamani (Old school) ni kusema kwamba Majani ameishiwa creativity ya mziki wa hip-hop

JA. kimweri2 年前
Big up brother goma ni 🔥

lucky seven L72 年前
Wahun tunadate na njaa huwez kutusimangia misos . I LIKE THIS VERSE BRO

mdogo wake malkia nyuki2 年前
Grammy kak 😂

