正在加载视频...

视频加载失败

ODEMBA KATUMIA V. A.R

59,027 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)

11 条评论

KIDUKU 的头像
KIDUKU1 年前

Hili La VAR Lilikua Pigo La KISAIKOLOJIA Kwa KIGAILA Hakutegemea Kama VAR Ingekuwepo Hii Namna Pekee Yakudili Na Madalali Wa Siasa Kama Kigaila😂😂

Solar Heavy 的头像
Solar Heavy1 年前

space meets sound

Innocent Makauki 的头像
Innocent Makauki1 年前

Kigaila anasema #NoReformsNoElection ni azimio la chama na kamati kuu, Mrema anasema sio maamuzi ya chama. Full kuvurugana wachawi wakubwa hawa.

La la la la laaa 的头像
La la la la laaa1 年前

Siasa ni watu, uchaguzi wa chama umeisha uongozi unaanza kushawishi watu kwamba hakuna uchaguzi watu ghafla linaibuka kundi la uongozi wa zamani linaanza kupinga ajenda likidai hakuna mkakati, kwa watu wanaojua siasa vichocheo ni vitatu usaliti, fedha na hasira ya kushindwa.

GURU 的头像
GURU1 年前

🤣🤣🤣 Alikuwa kama kafumaniwa na anaona Wana wako na mafuta Yao kabisa 🤣

carlos pills 的头像
carlos pills1 年前

Kibaka huyo ndg zangu tulichelewa kuwajua na wakawa wako ofisini wakila kodi zetu .

DANIEL WILSON 的头像
DANIEL WILSON1 年前

Kweli huyu Odimba anahojikwakukagua maneno yako mpaka usoni anakugaua kama uko sirias

Gilbert Mwansasu 的头像
Gilbert Mwansasu1 年前

Hizi VAR ziendelee kutumika, waandishi wa habari wajifunze kutoka kwa mtaalamu @chiefodemba

Joblube4 的头像
Joblube41 年前

Kigaila uwezo wake wa kujenga hoja ni mdogo sana ndio maana huyu ni bidhaa kwa kwa Kijani mwanasiasa malayamalaya -Nyerere🚮

Ahmed Katakweba 的头像
Ahmed Katakweba1 年前

Twaha, Paramus hapo

Edward Kaniki 的头像
Edward Kaniki1 年前

Nimekumbuka watani zangu na kale kamsemo kao gusa achia twende kwao 😂😂😂😂

相关视频