Loading video...
Video Failed to Load
On all Platforms Now! ❤️ #CHITAKI 👇🏼
139,138 views • 3 years ago •via X (Twitter)
10 Comments

MZUNGU PORI💪3 years ago
Sema zuchu kavaa gaun fupi na bado hajaridhika analipandisha tena juu😢😢

Lostunner3 years ago
Unyama Mwingi 🔥

MaestroRahim3 years ago
We jamaa fundi sana asee Keep on moving haloo

Mchambuzi Wa Mchongo ⚽3 years ago
Boss umemsikia Hanstone lakini😂😂

GWIJI3 years ago
Uyu zuhura kunyanyua gauni ndio kafanya nimeangalia video yote 😄

mr mohtz3 years ago
umeishiwa contet mwanangu achan na mziki sasa

Patrickpthedj3 years ago
big time bro we noma sana #CHITAKI

Mwanawavayinu3 years ago
Ivi Lavalava yuko wapi kama hapa tulitakiwa tumuone na yeye pia shida iko wapi mnampromot sana mbosso Lavalava mmemsahau kabisa oya CHIBU tupange basi mashabiki wake

Ms Vibe ✨️3 years ago
Mondi Pita hivi

Patrickpthedj3 years ago
🫡🫂🔥🦁🫡
