正在加载视频...
视频加载失败
Ona vile simu karibu iendee
59,372 次观看 • 6 个月前 •via X (Twitter)
39 条评论

🤣she had a suspicious glance at the guy before action. Situational awareness.

😂 alikuwa amemuona na umbali

Kuna time nilienda kusaidia mtu ameibiwa simu... Kumbe mwizi penye anakimbia hapo mbele ni wezi wote pamoja weeh niliona siku mrefu 😂😂...

Huyo mokoro amewai tendewa ako sharp sana

once beaten twice shy

Reflexes za huyo mama ziko tops

"Uubwa wewe" Wueh!

😂

Ubwaaa wewe.. mwisiiii 😂😂 @ClintonObonyo

😂😂

Karibu mathe alale mteja leo 😂😂. Uzuri alikuwa amemuonea 18, vile tu alipanda hio pavement naye mathe akakaa rada

Huyo mwizi ndio anajifunza kazi

uyu anasnatch simu na mikono zote mbili ni beginner bado😂😂

Huyu kijana anafaa akishikwa achomwe papo hapo

Kuna sura zingine zikinikaribia ata siezi pumua asiende na CO2 yangu wallah😂

Sai kwenye Kenya imefika hauruhisiwi kutumia simu mahali popote isipokua kwako kwa nyumba😅. Mwewe za mtaa ziko sharp kuchota anytime

Ukiona tu mtu na hizo viatu wewe anza kusonga. Hizo viatu zinampeanfa head start moja wazimu

Help me get this lady scammer from nakuru

Huyu si mara yake ya kwanza...

Waliniscam na huyu..lucky cctv ilicapture huyo dem. Jana someone called me and told me amescam watu wengi sana. She took 300k plus akijifanya agent

😂😂😂...huyo ni mwizi mzoefu sababu that was a split second decision to steal... almost impulsive

Miss 😂

[Screams in lowercase] mwisiiii!

Where is this place? I would like to completely avoid the place.

Skills ni za navy army

Cameraman ametuangusha bana

such a lazy fellow wants to reap where he never sow

🤣🤣🤣

Matha ako radar na situational awareness

Huyo mama ako na reflex atari sana

a glock automatic inaeza saidia hapa

hapo si mob inamkula tuu mbaya

he went with both hands and still missed 😂😂😂

That "umbwa wewe" is funny

Cameraman fuda😂

huyo mkanya ako rada kama panya

Reflex za huyo mother zko on point!

😂😂

What is wrong with camera person?
