Loading video...
Video Failed to Load
Oooh Lord🥹
88,751 views • 1 year ago •via X (Twitter)
10 Comments

MUNGU nakuomba sikia hicho kilio cha watu wako na ukawatendee kwa Kadri ya uwezo wako. Kama uliweza kuwatoa wana Israel katika nchi ya mateso basi ukawatoe na hawa ndugu zetu kwenye haya mateso wakiwa wazima.

@josephat_f34641 Amen

Baba najua hili unaliweza fanya kitu kwa watoto wako hawa😪👏🙏

🙏

Tukio la Haraka, Taarifa Ya Dharura, alaf Mwana He Keep Asking "Hali zenu zikoje " mara Kumi Kumi Hadi Waliochini wamemind 🙌 Hawa Nao Hawa Dah.!

🙌

Mwandishi anataka kujua hali zao zipoje badala ya kupeleka taarifa sehemu husika?

Huyu mwandishi nae takataka tuu... Mnafanya content uhai wa watu

Mungu awe upande wao taarifa zinasema wamefikiwa na uokoz unaendelea kwaajili yao

Safi asee🙏
Related Videos
Saturday (Oooh! Oooh!) • Ludacris feat. Sleepy Brown [2001]
THE GODMUTHA ✦
45,770 views • 6 months ago
