Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

18,190 Aufrufe • vor 2 Jahren •via X (Twitter)

6 Kommentare

Profilbild von Latto 𝕏
Latto 𝕏vor 2 Jahren

Ila Chino 😂😂😂😂😂😂 Anakwambia ati alikuwa na Furaha kupitiliza mpaka akamsahau Mzee Wake... Baaadi 😂😂😂 Wakati alikumbushwa na Idriss.. Mwamba kaongea mengi sana 😂😂 Umri wake, mpaka Chips yai aliyonunua hakula yeye akala Marioo Msikilize.. Video kwa Comments👇

Profilbild von Latto 𝕏
Latto 𝕏vor 2 Jahren

#wadhamini Kamata Airtel 5G Router buree leo na uenjoy internet yenye kasi zaidii bila kikomo mwezi mzima. Lipia 110k kwa mwezi mmoja kisha miezi mingine yote 70k. Wasiliana nasi kwa, Call/ WhatsApp: 0780474172 Tamba Na Airtel 5G.

Profilbild von Latto 𝕏
Latto 𝕏vor 2 Jahren

Idriss alivyomkumbusha

Profilbild von Golden Plains Adventures
Golden Plains Adventuresvor 2 Jahren

Msenge tu chino unafuraha kupitiliza umsahau aliyekutoa kufanya ujulikane wewe ni pipiro

Profilbild von aL FakheeM
aL FakheeMvor 2 Jahren

Dogo anamkunjia Marioo, anataka aabudiwe

Profilbild von mwiba09
mwiba09vor 2 Jahren

Dogo ameongea kiutu uzima sana na alichokifanya Idriss ni uchonganishi kitu ambacho sio kizuri kwenye Career yao ya muziki na ata Career nyingine... ikiwezekana aombe radhi kiungwana tu

Ähnliche Videos