Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Oyaaaaa๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ฝ
81,677 Aufrufe โข vor 2 Jahren โขvia X (Twitter)
11 Kommentare

Oyaaa nimecheka ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ฝ Yani mwana anakusave mpaka we mwenyewe unashindwa kuelewa kaku-save aje๐๐๐๐๐๐ Tx-Dullah atengwe ๐๐๐๐๐๐ฝ Video kwa Comments๐๐พ๐๐พ

Oyaaaa kmmmkeee leo Kuna shemeji yangu kanifanyiaa hu usenge me kumtetea mwana kumbe yupo nae asehe daah ๐๐๐๐๐ฟ ningeiona hi kabla ๐๐๐ฟ

Hawa mbwa wanajua sana kuchekesha

Shemeji yangu mmoja aliwahi kunipigia simu akimuulizia mshkaji(mume wake hajarudi home) Jumamosi asubuhi hiyo (Ulikuwa nae?). Nikamwambia nitampigia niko Jumuiya. Nilihangaika kumtafuta msela mpaka kumpata na kumrudia shemeji. Hahahahaa wanawake lazima waelewe sisi tukoje

Code ni kwamba usimuue mwamba ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ oya @Wilbright_jr siku ukiyatimba kwa shem akipiga nakukataa mazima๐คฃ๐คฃ๐คฃ

Eti mmh we dulla umenitoa wapi wewe?

๐๐๐ eti Dullah umenitoa wapi

๐คฃ๐คฃ๐คฃ

๐๐

๐คฃ๐๐คฃ ilishanikutaga hiyo tunaita BROTHERHOOD

Kwer uchawi upo
รhnliche Videos
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ฝ
Futurist๐ฟ๐ผ
90,397 Aufrufe โข vor 6 Monaten
